• MISEMO

    Saturday, March 11, 2017

    Zoezi la Bomoabomoa leo march 11 2017 eneo la Buguruni

     


    Zoezi la Bomoabomoa leo march 11 2017 limechukua sura nyingine Jijini Dar es salaam eneo la Buguruni ambapo Ayo TV na millardayo.co imefika eneo hilo, Nyumba zilizobomolewa ni zile zote ambazo ziko ndani ya mita 30 kutoka kwenye Reli na zoezi hili limeanzia Station Posta na linatarajiwa kuendelea Tanzania nzima kwa nyumba zote zilizo ndani ya hifadhi ya reli.

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Culture