DIRA THEATRE GROUP KUTOKA MOROGORO:
Wanapenda kufahamisha tanzania kuwa wapo vizuri katika kucheza ngoma za asili za makabila tofauti Tanzania.Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Dira ameeleza kuwa wao ni waburudishaji wazuri2 wawapo jukwaani pia ni kikundi kinachoongoza kwakuwa na mialiko mbalimbali ya kikazi tanzania wanachukua fursa hii kuhufahamisha umma kuwa wapo tayari kwa mialiko ya aina yoyote,sehemu yoyote,ndani na nje ya Tanzania
MAWASILIANO -TIGO-0714505195
-VODA-0755840581
AU - NICHEKI HAPA VIJANA CHOKA
MAWASILIANO -TIGO-0714505195
-VODA-0755840581
AU - NICHEKI HAPA VIJANA CHOKA
No comments:
Post a Comment