• MISEMO

    Friday, March 17, 2017

    PENZI MUBASHARA LA LULU NA MAJIZO WA EFM LAVUNJIKA




    Lile penzi mubashara kati ya staa wa filamu nchini, Lulu Michael na Mkurugenzi wa E-fm maarufu kama Majizo, linadaiwa kuingia kidudu mtu.
    Za kunyapia nyapia zinadai eti bibie huyo anatuhumiwa kujihusisha na imani za kishirikina. Hata hivyo chanzo kamili cha wawili hao kuwa katika hali ya sintofahamu bado hakijajulikana ila wawili hao sasa hivi hawakai zizi moja kama zamani

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Culture