• MISEMO

    Friday, March 10, 2017

    Kifo cha Kanumba kilifanya niamini ndio mwisho wangu”-Jennifer

    Unamkumbuka Mtoto aliye igiza kama Jennifer kwenye Movie ya Anko JJ…? ambapo alipata umaarufu kupitia Movie ya “This is it” ya marehemu Kanumba na kuendelea kufanya vizuri haswa kwenye movie ya Anko JJ na baadae kuendelea na masomo kabla ya maerehemu Kanumba kufariki Dunia.
    Ayo Tv Entertainment imepiga story na Jennifer kujua maendeleo yake baada ya Marehemu Kanumba kufariki dunia kama aliweza kuendelea kuigiza na jinsi gani alizipokea taarifa za msiba wa marehemu Kanumba haya ndio majibu yake…...>>>nilizipokea vibaya maana tulikuwa na malengo so nilivyopewa hizo taarifa za msiba nikajua kuigiza kwangu ndio kumeishia siku hiyo”;- Jennifer

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Culture