• MISEMO

    Wednesday, September 21, 2016

    HABARI ZA ULIMWENGU

    Mzee aliye na watoto 70  na wajukuu 300 Tanzania

    Nchini Tanzania katika mkoa wa Arusha wilayani Monduli, 
    mzee mwenye zaidi ya miaka 100 ana watoto zaidi ya 70 na wajukuu 300.
    Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, amelazimika kuwa
     na shule yake na soko kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado 
    ana azma ya kuendelea kuoa,Watu kutoka mataifa mbali
     mbali hufika kumtembelea mzee huyo kama sehemu ya utalii.
    Na Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alimtembelea mzee 
    huyo Kaskazini mwa Tanzania.

     

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Culture