USAFIRI WA KUSINI UTATUMALIZA Mwendo kasi wa magari barabara ya kwenda kusini wasababisha ajali mbaya Kibiti wilaya ya Rufiji mkoani Pwani na kusababisha vifo vya watu 22,ajali hii imeusisha magari yapatayao tano moja ikiwa gari ndogo ya abiria (haice ) Read more
No comments:
Post a Comment