• MISEMO

    Monday, April 24, 2017

    VICHEKESHO

    Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimu
    akasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi
     ataondoka asiye jibu atabaki.Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje? Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango akaenda kwao.neno moja kwa dogo

    No comments:

    Post a Comment

    Fashion

    Beauty

    Culture